Hii ni ziara ya twiga stars katika jiji la washington
twiga stars wakipozi na governor wa jiji la Washington

matron wa twaga Bi Rahama akipiga kinanda

picha ya pamoja ya wachezaji wa twiga nje ya state of capitol ya gavornor wa jiji la washington

matron wa twiga stars bi Rahma Al Kharous akipangusa kinyago cha Rais wa zamani wa marekani george washingto

kina dada wakipozi karibu na sanamu ya rais wa zamani wa marekani George Washington
No comments:
Post a Comment