
Fiorentina klabu toka nchini Italia imekuwa katika mpango wa kumchukua kiungo huyo mwenye umri wa miaka 27 baada ya kocha wa klabu hiyo Sinisa Mihajlovic akizungumza na waandishi wa habari kusema
"namtaka mtu kama Aquilani".
Aquilani pia amekuwa akihusishwa na kutaka kujiunga na mabingwa wa Italia AC Milan.mwaka jana mchezaji huyo wa kimataifa wa Italia alikuwepo kwa mkopo katika klabu ya Juventus baada ya kushindwa kudumu Anfield,lakini kibibi kizee cha Turin wamekuwa w akimtaka kwa mpango wa mkataba wa kudumu.
No comments:
Post a Comment