Jermain Defoe amejumuishwa katika kikosi cha kocha Fabio Capello cha uingereza baada ya mshambuliaji huyo wa Tottenham kuharisha operation yake ya groin ambayo ingemuweka nje katika michezo ya kuwania kufuzu fainali za mataifa ya ulaya dhidi ya Bulgaria na Switzerland.Defoe alikuwa amepangiwa kufanyiwa upasuaji jumanne na majaliwa ya kupona kwake kuchukua majuma manne lakini hata hivyo meneja wake wa Spurs Harry Redknapp anasema maumivu yake yameanza kurejea katika hali nzuri na hivyo kujumuishwa katika kikosi kwa ajili ya michezo hiyo miwili muhimu
Wawili hao yeye na mwenzi Peter Croach toka Tottenham sasa wamerejeshwa kikosini baada ya kupumzishwa katika michezo ya hivi karibuni ya kirafiki dhidi ya Hungary katika dimba la Wembley kufuatia majukumu na vilabu vyao katika michuano ya mabingwa.Kikosi kamili
Goalkeepers: Scott Carson, Ben Foster, Joe Hart
Defenders: Gary Cahill, Ashley Cole, Michael Dawson, Kieran Gibbs, Phil Jagielka, Glen Johnson, Joleon Lescott, Matthew Upson
Midfielders: Gareth Barry, Michael Carrick, Steven Gerrard, Adam Johnson, James Milner, Theo Walcott, Shaun Wright-Phillips, Ashley Young
Strikers: Darren Bent, Carlton Cole, Peter Crouch, Jermain Defoe, Wayne Rooney
LIVERPOOL YAJITUTUMUA KWA BAO LA TORRES, MANCHESTER CITY HOI BIN TAABAN,ASTON VILLA YAICHAPA EVERTON BAO 1-0
PREMIER LEAGUE ROUND-UP
City yakamatwa , Liverpool yaichapa West Brom
Manchester City imepoteza mchezo wake kwa kuchapwa na Sunderland kwa bao 1-0 katika mchezo ulipigwa katika dimba la Stadium of Light ahasante kwa bao la dakika ya 90 kwa mkwaju wa penati iliyopigwa na Darren Bent.
Bent kwake hilo limekuwa ni bao lake la nne ndani ya msimu akilipata baada ya kuangushwa kwa Micah Richards.
PREMIER LEAGUE ROUND-UPCity yakamatwa , Liverpool yaichapa West Brom
Manchester City imepoteza mchezo wake kwa kuchapwa na Sunderland kwa bao 1-0 katika mchezo ulipigwa katika dimba la Stadium of Light ahasante kwa bao la dakika ya 90 kwa mkwaju wa penati iliyopigwa na Darren Bent.
Bent kwake hilo limekuwa ni bao lake la nne ndani ya msimu akilipata baada ya kuangushwa kwa Micah Richards.

No comments:
Post a Comment