Pages - Menu

Thursday, September 16, 2010

NYOTA YA SARA BAREILLES KWENYE MAUZO WIKI HII YANG'ARA
Albam ya kwanza ya Sara Bareilles imefanikiwa kuongoza katika mauzo ya huku wimbo wake mkalikwa sasa wa "Kaleidoscope Heart" ukisukuma mauzo hayo na kufikia kuuza kopi 90,000 ndani ya juma hili kwa mujibu wa Nielsen SoundScan.
Wimbo wa kwanza Bareilles ulikuwa ni "Little Voice," ambao uliwahi kushika nambari 7 mwaka 2008 na kwasasa umeuza 997,000 ndani ya U.S.

No comments:

Post a Comment