Pages - Menu
(Move to ...)
Home
Contact
Audio&Video
Profiles
Search
Education
▼
Tuesday, November 4, 2014
Hatma ya Morocco kuandaa AFCON kujulikiana Nov 11
›
Shirikisho la soka barani Afrika limesema linatambua juu ya mlipuko wa ugonjwa Ebola barani Afrika licha ya kugomea ombi la kuahirishwa k...
FIFA yagomea mchezo wa kimataifa wa Uganda na Sudan wakisema ni kinyume na taratibu
›
Shirikisho la soka duniani (FIFA) imetaka mchezo uliopangwa baina ya Uganda na Sudan kuondolewa katika mpango wa kuchezwa. Katende M...
Yaliyomkuta Yaya Toure baada ya Derby ya Manchester ni kubaguliwa mtandaoni
›
Taasisi inayopambana na ubaguzi wa rangi wa 'Kick It Out' imelitahadharisha jeshi la polisi juu ya ujumbe wa kibaguzi wa rangi k...
Kocha wa Ajax Frank de Boer: tunawaheshimu na sio kuwaogopa Barcelona
›
Kocha wa Ajax Frank de Boer amesema kikosi chake kinapaswa kuwaheshimu na sio kuiogopa Barcelona"respect, but not fear" wakati...
Aleksandar Kolarov nje mwezi mzima, Eliaquim Mangala kuikabili CSKA Moscow
›
Meneja wa Manchester City Manuel Pellegrini amethibitisha kuwa Aleksandar Kolarov atakosekana katika kipindi cha takribani mwezi mzima kuf...
Diafro Sakho wa West Ham kuhusika katika mchezo dhidi ya Aston Villa
›
Mfungaji anayeongoza katika klabu ya West Ham Diafro Sakho imeelezwa kuwa yuko fiti kuelekea katika mchezo wa Jumamosi wa Premier League d...
Sunday, November 2, 2014
Huenda Steven Gerrard akaelekea nchini Marekani kiangazi
›
Steven Gerrard huenda akahamia nchini Marekani majira ya kiangazi Gerrard ametanabaisha kuwa endapo Liverpool itashindwa kumpatia mka...
Rais Jakaya Kikwete amezindua ujenzi wa kituo cha vijana cha michezo cha kimataifa mjini Dar es Salaam.
›
Afisa Mtendaji wa Sunderland Margaret Byne (kulia) Mkurugenzi wa biashara Sunderland (katikati) na Stewart Hall aliyekuwa kocha wa Azam...
Entente Satif bingwa wa vilabu Afrika
›
Kilabu ya Entente Satif kutoka Algeria imeshinda ubingwa wa kilabu bora barani Afrika kwa mara ya kwanza katika miaka 26 baada ya kuish...
Sergio Aguero apeleka kilio kwa United
›
Ilikuwa ikionekana ni ngumu leo kumfunga David de Gea. Kwa upande wake Sergio Aguero haikuwa hivyo kwani alidhihirisha kuwa yeye ni noma ...
›
Home
View web version