Pages - Menu

Wednesday, November 9, 2011

CAMEROON - TANZANIA (EJANGUE siliki augustine)


katika mchezo huu timu ya taifa ya Tanzania ilizidiwa katika kila hali utaona ni namna gani timu ya Tanzania ilivyokuwa ikihaha kuutafuta mpira kuna makosa mengi katika sehemu ya kiungo ambacho kilipwaya na kuruhusu Cameroon kuingia katika eneo la hatari la Tanzania

No comments:

Post a Comment