Pages - Menu

Friday, June 29, 2012

BREAKING NEWS: WAZIRI WA HABARI MICHEZO NA UTAMADUNI APATA AJALI.

Dr Fenella Mukangara
Habari zilizotufikia katika mtandao huu wa Rockersports zinadai kuwa waziri wa habari utamaduni na michezo Dr Fenella Mukangara amepata ajali huko mkoani Tabora.
Ajali hiyo imetokea leo eneo la kati ya Igunga na Nzega. kwa taarifa zaidi fuatilia mtandao huu.

No comments:

Post a Comment