Pages - Menu

Tuesday, June 26, 2012

Javier Hernandez siku ya kwanza Twitter followers 125,000

Hernandez pembeni mpenzi wake
Nyota  wa Manchester United amejiunga katika mtandao wa kijamii wa Twitter na kupata wafuasi wengi zaidi ndani ya muda mfupi.
Javier Hernandez baada ya kufungua account ya Twitter ndani ya masaa 24 ameongeza followers 125,000.
Rafiki yake Rio Ferdinand alimkaribisha Hernandez kwa maneno haya katika ukurasa wake
 “Chicharito, AKA Javier Hernandez sasa yuko Twitterverse people karibu rafiki yangu”
Baada ya masaa machache ya kufungua account hiyo Hernandez alituma ujumbe wake wa kwanza kupitia video proclaiming akitamka "this indeed is the official account."

No comments:

Post a Comment