Pages - Menu

Sunday, June 24, 2012

SIMBA NA YANGA ENDELEENI KUJIFUNZA HAPA

Uwanja mpya wa 10 de Agosto ya Angola
Viwanja viwili vipya vya soka vinatarajiwa kuzinduliwa nchini Angola ambavyo vimejengwa na klabu 1o de Agosto na uzinduzi wenyewe kufanyika  August 1 katika wilaya ya Maianga.
Viwanja hivyo vilikaguliwa juzi na wataalam wa bodi ya fifa ya utawala.
Taarifa zinasema matokeo ya ripoti yatawekwa wazi baada ya wiki mbili.
Viwanja hivyo vipya vitapewa majina baada ya Daniel Ndunguindi ambaye alikuwa mwanzilishi wa klabu na Nicolas Berardineli ambaye alikuwa kocha wa kwanza wa 1o de Agosto wakati wakiwa mabingwa.

No comments:

Post a Comment