Pages - Menu

Sunday, June 17, 2012

Vicente del Bosque asaini miaka mingine mitano na Hispania Spain


Kocha wa timu ya taifa ya Hispania Vicente del Bosque mwenye umri wa miaka 61-year amekubali kuingia mkataba mwingine na mabingwa Ulaya na dunia Hispania mpaka 2014 baada ya kumalizika kwa fainali za kombe la dunia na anatarajiwa kusalia na msaidizi wake.
Msaidizi wake Toni Grande pamoja na kocha wa viungo Javier Minano naye atasalia Hispania.
Del Bosque ameiongoza Hispania katika fainali za kombe la dunia baada ya kuondoka mtangulizi wake Luis Aragones.

No comments:

Post a Comment