Wachezaji wa Azam wakiwanayamazisha mashabiki waliokuwa wakiwazomea wakati wa mchezo wao wa nusu fainali ya kombe la Kagame dhidi ya Vita Club ya DRC mchezo ambao ulimalizika kwa Azam kushinda kwa mabao 2-1 huku mabao ya Azam yakifungwa na John Boko na Mrisho Ngasa.
(Picha zote msaada wa Bongostaz blog)
Fainalli ya michuano hiyo sasa itazikutanisha mabingwa watetezi Yanga dhidi ya Azam ilhali Vita na APR zitakutana katika mchezo wa mapema kusaka mshindi wa tatu. |
No comments:
Post a Comment