Pages - Menu

Sunday, July 15, 2012

Teves kwenda Milan

Mshambuliaji wa Manchester City  Carlos Tevez ameendelea kusalia katika mawindo ya AC Milan hii ikiwa ni kwa mujibu wa wakala wake ambayo amekuwa akihusika na mpango huo.
Tevez amekuwa akihusishwa na kutaka kuelekeea Serie A mara kadhaa wakati ambapo kumbukumbu ya kuelekea  Milan mwezi January ikionyesha mpango huo kuvunjika katika dakika za mwisho kutokana na mpango wa kuuzwa kwa Alexandre Pato kwenda Paris Saint-Germain kuharibika.

hata hivyo mpango unaarifiwa kurejea kufuatia kuwepo na taarifa kuwa Zlatan Ibrahimovic ataondoka San Siro kwenda PSG.

No comments:

Post a Comment