Pages - Menu

Friday, August 17, 2012

BREAKING NEWS: Wenger amthibitisha Vermaelen kuwa nahodha mpya Arsenal akichukua nafasi ya Van Persie.

 
 

Thomas Vermaelen amechaguliwa kuwa mrithi wa unahodha wa Robin van Persie katika klabu ya Arsenal kama ilivyo tolewa taarifa hivi punde.

Wakati mshambuliaji mahiri na hodari Van Persie akiwa anaelekea Old Trafford, Arsene Wenger ametangaza Vermaelen kukiongoza kikosi chake wakati ambapo ligi kuu ya England ikiwa inafungua pazi hapo kesho na Asernal ikitarajia kuanza kampeni ya taji la ligi kuu hape kesho bila ya Robie Van Persie na Vermaelen akiongoza kikosi dhidi ya Sunderland.

Wenger amemchagua Mikel Arteta kuwa msaidizi wa nahodha huyo ikiwa ni msimu wa pili kwa Arteta kuwepo katika viunga vya Emirate stadium.


No comments:

Post a Comment