Pages - Menu

Saturday, September 8, 2012

DR FENERA MKANGARA KUFUNGUA RASMI RIADHA TAIFA LEO. MICHEZO HIYO ILIANZA JANA UWANJA WA TAIFA LEO NI NUSU FAINALI NA FAINALI.

Wajenzi wa uwanja wakifuatiali

Kanali Kipingu akifurahia riadha
Hizi zilikuwa za mita 5000.
Ingekuwa Olympic angalau tungeambua mtazamo wangu
Wakali wa high jump

Jamaa wanasubiri kibastola kilie
Raha ya mbio za mita 100 ni hapa fainali kesho.
Mkongwe Lwiza
Kanali kipingu na mzee Sarakikya
Hizi ni mbio za mita 10,000
Huduma ya kwanza ilipatikana pia.

No comments:

Post a Comment