DREAM TEAM YAENDELEA VEMA NA KAMBI NCHINI AFRIKA KUSINI.
Waakilishi
wa Tanzania kwenye kambi ya soka ya kimataifa wakiwa kwenye picha ya pamoja
Pretoria, Afrika Kusini mwishoni mwa wiki. Nchi 15 ziko kwenye kambi hiyo
ambayo inaongozwa na makocha kutoka Klabu ya Uingereza- Chelsea.
Kocha kutoka Klabu ya Chelsea ya Uingereza Robert Luke
Udberg akimpa maelekezo mchezaji wa Copa Coca-Cola wa Tanzania wakati wa
mazoezi kwenye viwanja vya St. Albanas College, Pretoria Afrika Kusini mwishoni
mwa wiki. Timu ya Tanzania ya Copa Coca-Cola hiko kwenye kambi ya kimataifa ya
soka ya wiki mbili nchini Afrika Kusini.
No comments:
Post a Comment