| Mshambuliaji wa Simba Emanuel Okwi akiukimbilia mpira huku beki Ibrahim Shikanda akijiandaa kuupiga mpira huo kwenye mchezo wa ligi kuu uliochezwa Taifa na simba kushinda mabao 3-1. |
| Emanuel Okwi akikimbia huku akishangilia bao lake la kwanza alilofunga. |
| Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la pili la Emmanuel Okwi kwa furaha. |
| Mshambuliaji wa chipukizi wa Simba Ramadhan Singano wa Simba akimtoka beki wa Azam Sahm Nuhu kwenye mchezo wa ligi uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment