Pages - Menu

Tuesday, November 27, 2012

KIFAA HIKI KUELEKEA KWA WASHIKA MIKTUTU PUNDE.

Arsene Wenger amethitisha kumtaka kinda wa Crystal Palace Wilfried Zaha ili ajiunge Emirates, akisema winga huyo ni miongoni mwa wachezaji anayetakiwa sana na klabu yake.

akijibu habari kuwa Gunners kumtaka winga huyo, Wenger amekubali kuwa ni kweli walikuwa wakimsaka kwa muda sasa.

No comments:

Post a Comment