Pages - Menu

Sunday, November 18, 2012

SERENGETI YAAMBULIA GOLI MOJA NYUMBANI DHIDI YA CONGO BRAZZAVALLE.

Mudathiri Yahya akiwakimbia wenzake kwa furaha ya kufunga bao la mpira wa adhabu uliokwenda moja kwa moja wavuni.
Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana waliochini ya miaka 17 Serengeti boys wakishangilia bao lililofungwa na Mudathiri Yahya Abbas.

No comments:

Post a Comment