Pages - Menu

Friday, December 21, 2012

KILIMANJARO PRIMIUM LAGER YAWAKUTANISHA STARS NA CHIPOLOPOLO KWENYE BURUDANI USIKU HUU UWANJA WA TAIFA KABLA YA MECHI JUMAMOSI. WECHEZAJI WASHINDANA KUKATA MAUNO.


Katongo anashangaa wachezaji wenzake wakifanya vitu vyao.
 


 
 JUMA KASEJA NAHODHA WA KILI TAIFA STARS AKIWATAMBULISHA WACHEZAJI WA STARS
 


Simon Msuva kiboko ya sebene.
Mrisho Ngasa naye nouma mule mule.
 



Kim Poulsena anashangaa vijana wake wakifanya mambo akiwa na Dr Mkemwa daktari wa timu.
Madada wa kundo la Scopion walifunika kwa burudani, hapa ni baada ya show yao.
 


Huyu naye kapagawa na Athumani Chuji ngoma mpaka dirishani Chuji Chuji Chuji kazi kwelikweli.
Isha Mashauzi back the stage.



 




 

 







 





No comments:

Post a Comment