![]() |
| Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi nahodha wa timu ya hoteli Seronera Jamali Kitonga kikombe cha ujirani mwema baada ya timu hiyo kuilaza timu ya Four season Safari Lodge mabao 5-4 katika uwanja wa Kifaru katika hifadhi ya Serengeti mkoani Mara na kuchukua taji hilo. Ndani ya dakika 90 timu hizo zilikwenda sare ya bao 1-1 na kulazimika kupigiana mikwaju ya penati ambapo Seronera ilipata penati 4 na Four season Safari Lodge ilipata 3. Picha na Ikulu. |
| Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu Four Season Safari Lodge ambao walifungwa na Serena Serengeti Lodge katika mchezo wa fainali ya kombe la Ujirani mwema. |

No comments:
Post a Comment