PATI LA MIAKA 35 YA MTU MZIMA BIN ZUBEIRY LILIVYOFANA NDANI YA CITY SPORTS LOUNGE USIKU WA JANA
![]() |
| Dina Ismail akimlisha keki mumewe, Bin Zubeiry katika sherehe ya miaka 35 ya kuzaliwa kwa mumewe huyo, iliyofanyika kwenye ukumbi wa City Sports Lounge, Dar es Salaam usiku wa jana. |
![]() |
| Mama na wana; Dina Ismail akiwa wanawe, Princess Asia na Prince Akbar |
![]() |
| Dina na makinda yake |
![]() |
| Bin Zubeiry akimlisha keki kijana wake ambaye yuko tayari kutembea kwa miguu, kulala na njaa lakini asisaliti, Elius Kambili |
![]() |
| Watu wanaserebuka bwana... |
![]() |
| Dina akiwa rafiki zake |
![]() |
| Mwani na Zai wakila mangoma |
![]() |
| Bin Zubeiry baada ya kumlisha keki Jennifer Ulembo |
![]() |
| Mapacha Watatu, kulia Princess Asia, kushoto Prince Akbar na katikati Precious Boniface |
![]() |
| Bin Zubeiry akimlisha keki binti yake wa kwanza, Zai |
![]() |
| Baba na Mama wakikata keki |
![]() |
| Bin Zubeiry akimlisha keki mama yake wa kambo, Mwani Nyangassa |












No comments:
Post a Comment