| Nahodha wa timu ya JKT Mlale ambaye ni mchezaji wa zamani wa mabingwa wa soka Afrika Mashariki na kati Yanga Kudra Omari aliyevaa kitambaa cha unahodha wa timu yake . Kudra amesema licha ya kujitolea kwa nguvu zake zote kuhakikisha anafanikiwa kuipandisha ligi kuu JKT Mlale bado dhamira yake imesindikana kutoka na kukosa sapoti ya mkoa wa Ruvuma. Mlale ilishiriki ligi daraja la kwanza kundi A, ambalo lilikuwa na timu za Mbeya City, Polisi Iringa, Kurugenzi, Majimaji, Mkamba Rangers na Bukina Faso za Morogoro. |
No comments:
Post a Comment