Pages - Menu

Thursday, March 21, 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA UJENZI WA UWANJA WA AZAM COMPLEX.

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho kikwete hii leo amekata utepe kuzindua ujenzi wa kiwanja cha kisasa cha soka cha azam complex chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment