| Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima akiruka kwanja la mlinzi wa Toto Afrika. |
| Hivi ndivyo bao la Yanga lilivyopatika likifingwa na Nizar Khalfani hayuko pichani |
|
Mshambuliaji wa Yanga Didier
Kavumbagu akitoa pasi kwa Hamis Kiiza wakati wa mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa
uwanja wa Taifa jana, Yanga ilishinda bao 1-0. Picha na Rahel Pallangyo.
|
No comments:
Post a Comment