| Mwenyekiti wa klabu ya Simba Ismail Aden Rage akiongea na wanachama wa klabu hiyo hii leo katika kikao cha mkutano
mkuu wa klabu ya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Police Officer's
Mess Osteybay jijini Dar es Salaam. Mkutano huo ulihudhuriwa na
wanachama wapatao mia 700 ulifanyika kwa saa moja kuanzia saa nne
kamili asubuhi mpaka saa tano. Mkutano huo ulizungumzia mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja taarifa ya matumizi ya fedha ya klabu, suala la ujenzi wa uwanja
wa Simba pamoja na kuzinduliwa kwa mkakati mpya wa maendeleo ya Simba. |
No comments:
Post a Comment