ROCKERSPORTS

Pages - Menu

▼

Monday, July 22, 2013

UNITED YAENDELEA KUMTEGA FABREGAS KWA KUONGEZA DAU

Manchester United imerejea tena kwa mara ya pili kumtega kiungo wa Hispania na Barcelona Cesc Fabregas.

United ilihibitisha kuweka mezani pauni milioni £25 kwa ajili ya kiungo huyo mwenye umri wa miaka 26 hii leo jumatatu na imeongeza kiwango hicho mpaka kufikia pauni milioni £30 na nyongeza ya mambo mengine kadhaa huku makamu mwenyekiti wa klabu hiyo Ed Woodward akiongoza mazungumzo.


Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.