Pages - Menu

Thursday, August 8, 2013

YANGA YAIKANDAMIZA 3 PILLARS YA NIGERIA ( kutoka Salehjembe blog)

TIMU ya Yanga leo imeikandamiza bao 1-0 timu ya 3 Pillars kutoka nchini Nigeria katika mchezo wa kirafiki uliopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 

Bao la mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara limefungwa na mshambuliaji aliyesajiliwa kutoka Mtibwa Sugar, Hussein Javu kipindi cha kwanza.
(PICHA NA RICHARD BUKOS)

No comments:

Post a Comment