Pages - Menu

Saturday, August 17, 2013

YANGA YATWAA NGAO YA JAMII BAADA YA KUIFUNGA AZAM FC BAO 1.

Wachezaji wa Yanga wakiiibusu ngao ya jamii waliyotwaa baada ya kuifunga Azam bao 1-0 katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Taifa leo huku bao la ushindi la Yanga likifungwa na Salum Telela.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadiq Mecky akimkabidhi Nahodha wa Yanga ngao ya jamii baada ya kuifunga Azam FC bao 1-0 katika mchezo uliochezwa Taifa leo.

No comments:

Post a Comment