Pages - Menu

Thursday, September 26, 2013

UTUMISHI YASONGA MBELE MICHEZO WA NETBALL KATIKA MICHUANO YA SHIMIWI

Timu ya mpira wa pete ya wizara ya Mifugo kabla ya pambano lao dhidi ya Utumishi katika michuano ya SHIMIWI huko katika viwanja vya UDOM Dodoma. Katika mchezo huo Mifugo iliondolewa mashindanoni kwa kuchapwa magoli 28 kwa 15. Kutoka Mchuzi blog.
Wachezaji wa timu ya Utumishi wakijiandaa kwa mchezo wao dhidi ya wizara ya utumishi huko Dodoma katika michuano ya SHIMIWI viwanja vya UDOM.
Wizara ya Utumishi wakipambana na Mifugo katika mchezo wa pete au maarufu kama NETBALL katika michuano ya SHIMIWI huko Dodoma.

No comments:

Post a Comment