Pages - Menu

Monday, November 11, 2013

Messi majeruhi tena

Barcelona ya Uhispania imempoteza Lionel Messi , ambapo ni majeruhi kwa mara nyingine tena lakini pamoja na hayo waliweza kushinda pambano lao dhidi ya Real Betis kwa mabao 4-1 na timu inayoifukuzia kwa karibu Atletico Madrid iliteleza baada ya kutoka sare ya bao 1-1 jana Jumapili dhidi ya Villareal.
Messi alipata maumivu ya misuli ya paja na atakuwa nje ya uwanja kwa wiki 6-8 .
Hakuna shaka amesema kocha wa mabingwa hao wa la Liga Barcelona Gerardo Martino kuwa watazungumza na Messi na kuhakikisha kuwa maumivu hayo hayatamfanya kuingiwa na hofu na kumuathiri kiakili.

No comments:

Post a Comment