Pages - Menu

Wednesday, December 18, 2013

BADALA YA KUMPOKEA EMMANUEL OKWI MASHABIKI YANGA WAJIKUTA WAKIMPOKEA MLINZI WA SIMBA GILBERT KAZE

MASHABIKI kadhaa wa Yanga leo wameshinda Uwanja wa Ndege wakisubiri kumpokea Emanuel Okwi lakini hakutokea badala yake walijikuta wakimpokea beki wa Simba Gibert Kaze.

Mashabiki hao walifika uwanjani hpo wakiwa na jezi iliyoandikwa jina la Okwi kwa ajili ya kumkabidhi lakini waliishia kuikunja na kurudi nayo baada ya mchezaji huyo kutokufika.

No comments:

Post a Comment