Pages - Menu

Tuesday, December 10, 2013

Gordon McQueen awanyea Alex Furguson na Roy Kean.

Muasisi wa Manchester United Gordon McQueen amemkosoa Roy Kean kwa kuendelea kumkashifu meneja wa zamani wa klabu hiyo na kusisitiza kuwa yale yaliyohusiana na klabu hiyo huko nyuma na sasa yanapaswa kuelekezwa upande mmoja.

Sir Alex aliwahi kumuelezea nahodha wake wa zamani kuwa "ni mbinafsi na anayependwa kuogopwa ", na kuongeza kuwa anapaswa kuchunga ulimi wake kupitia autobiography ya hivi karibuni.

 Keane wiki hii alinukuliwa akisema kocha huyo mskochi bado ana mambo mengi anayo yaingilia kiufundi ndani ya Old Trafford licha ya kujiweka pembeni
"everything is about control and power" akimaanisha hilo kuelekea kwa meneja huyo wa zamani wa United.

lakini McQueen anadhani kuwa mvutano baina ya wawili hao ni kama unaelekea kwenye mwelekeo hasi hususani kipindi hiki ambacho wanapaswa kupigana kutetea taji la ligi kuu kufuatia vipigo vya nyumbani kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.

No comments:

Post a Comment