Pages - Menu

Tuesday, December 10, 2013

Muda mfupi ujao Champions League Group D

Champions League Group D

  • Venue: Allianz Arena
  • Date: 10 December, 2013
  • Kick-off: 19:45 GMT

David Silva atakuwepo uwanjani kwa upande wa Manchester City katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi dhidi ya Bayern Munich lakini watamkosa Yaya Toure na Gael Clichy. 

Timu zote zimeshafuzu tayari kuelekea hatua ya mtoano huku  City wakiwa nyuma kwa alama tatu na wakihitaji ushindi mkubwa zaidi kuweza kuongoza kundi kwa idadi ya mabao.

Toure amesimamishwa huku Clichy akiuguza mguu , Matija Nastasic na Stevan Jovetic (wote msuli) na wajasafiri.

Bosi wa City Manuel Pellegrini amekaririwa akisema
 "wachezaji wengine wote ukiachilia hao waliotajwa" 

Kikosi cha City kinatarajiwa kuwa na  Hart, Pantilimon, Zabaleta, Richards, Kompany, Lescott, Demichelis, Boyata, Kolarov, Milner, Navas, Nasri, Fernandinho, Rodwell, Garcia, Silva, Aguero, Negredo, Dzeko. joined the injured list after :

No comments:

Post a Comment