Pages - Menu

Saturday, December 14, 2013

Thiago Alcantar anasema lengo lake ni kuwa kama Ronaldinho Gaucho

 Thiago Alcantar amesema kuwa malengo yake ni kuwa mchezaji bora dunia kama ilivyo kwa "childhood idol" wake Roanaldinho Gaucho.
Nyota huyo wa kimataifa w Hispaania kwasasa anaendelea kudhihirisha thamani yake ndani ya Bayern Munich baada ya kuijiunga na mabingwa hao wa ulaya akitokea Barcelona kwa ada ya euro milioni €25.

No comments:

Post a Comment