Pages - Menu

Friday, January 24, 2014

Breaking News: Michael Essien aondoka Chelsea na kujiunga na AC Milan ya Italia

AC Milan yathibitisha kuwa kiungo wa Chelsea raia wa Ghana Michael Essien tayari amewasili Italia na akitarajiwa kusaini kwa kigogo hicho cha Italia usiku huu. 

Habari kamili zinafuata....

No comments:

Post a Comment