| Hivyo ndivyo ilivyokuwa wakati wa safari ya mwisho ya mwandishi mkongwe wa habari za michezo ambaye pia alikuwa ni mweka hazina wa chama cha waandishi wa habari za michezo nchini TASWA Sultani Sikilo alivyosindizwa katika safari yake mwisho huko Kibada. Marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya homa ya ini yaliyopelekea kifo chake. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina. |
No comments:
Post a Comment