Pages - Menu

Friday, February 21, 2014

Al Ahly washinda super cup barani Afrika

Klabu kubwa ya Misri ya Al Ahly iimshinda bingwa mara sita wa michuano ya Confederation Sfaxien of Tunisia kwa mabao 3-2 mjini Cairo na kutwaa Super cup.
Ahly ilikuwa katika kiwango kibovu licha ya kuwashinda wapinzani wao mbele ya mashabiki 30,000 katika dimba la Cairo International.

No comments:

Post a Comment