Pages - Menu

Friday, February 7, 2014

Kombe la Shirikisho: Wapinzani wa Azam fc wawasili nchini

Wapinzani wa Azam FC kwenye mechi za kimataifa timu ya Ferroviario wakiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dar es Salaam baada ya kuwasili jioni hii. Ferroviario itakwaana na Azam FC jumapili jioni kwenye uwanja wa Azam Complex

No comments:

Post a Comment