Pages - Menu

Sunday, February 2, 2014

Utamaduni wa matumizi ya rangi za jezi uwanjani kwa mashabiki wa Mbeya City ni wa ki pekee na udumishwe unaleta raha

 Mashabiki wa Mbeya City Fc wakiwa wanashangilia muda Mchache kabla ya Mpira kuanzawakiwa na jezi zao za rangi ya zambarau
 Wachezaji wa Mbeya City Fc wakiwa wanapasha huku mashabiki wao wakiwa na jezi za rangi za zambarau hii ni ya kuigwa na vilabu vingine kama Ashanti, Rhino Rangers, Coastal Union na vilabu vingine vya ligi kuu visivyokuwa vikubwa. 
 Watu kibao

No comments:

Post a Comment