Pages - Menu

Saturday, April 12, 2014

LIGI TANZANIA BARA: AZAM FC KUTANGAZA UBINGWA UBINGWA KWA MBEYA CITY UWANJA WA SOKOINE

 

Kikosi cha wachezaji wa Azam Fc na viongozi kimewasili mkoani mbeya tayari kwa pambano la kesho dhidi ya mbeya city.
Kikosi hicho kesho kitacheza katika mechi yake ambayo huenda ikatoa maamuzi ya Azam fc ya kuwa bingwa kama ikishinda. Azam fc inahitaji point tatu tuu ili iweze kutangaza ubingwa huku ikiwa na mechi moja mkononi

No comments:

Post a Comment