Pages - Menu

Saturday, April 26, 2014

Meneja Giggs apokelewa vema Old Trafford huku mashabiki wakigombea Autography yake uwanjani.

Tia saini hapa:Meneja wa muda wa Manchester United Ryan Giggs akitia saini autographs kabla ya kuanza mchezo dhidi ya Norwich ndani ya Old Trafford.

 Hiki ni kikosi cha kwanza cha meneja Giggs katika historia yake mpya ya kukinoa kikisi cha Uni

Man Utd: De Gea, Jones, Ferdinand, Vidic, Evra, Valencia, Carrick, Cleverley, Kagawa, Rooney, Welbeck.
Subs: Mata, Smalling, Lindegaard, Hernandez, Nani, Young, Fletcher.
 

No comments:

Post a Comment