Pages - Menu

Sunday, July 13, 2014

Francis Miyeyusho: Nasubiri mwezi mtukufu umalizike nianze kazi

Bondia Francis Miyeyusho (Pichani juu) amesema atakuwa tayari kurejea ulingoni mara baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani, kufuztia hivi sasa mapromota wengi wapo kwenye mpango wa kutimiza ibada hiyo ya Swaum.

Miyeyusho amesema baada ya kupanda ulingoni mara mbili mfululizo miezi miwiwli iliyopita kwa sasa anajifua ipasavyo, huku akisubiri Promota yoyote ambae atakuwa tayari kumuandalia pambano baada ya mwezi wa Ramadhani.

No comments:

Post a Comment