Pages - Menu

Thursday, July 10, 2014

Mshambuliaji wa Haiti Leonel Saint-Preux asajiliwa na Azam fc

Mshambuliaji wa kimataifa wa Haiti, Leonel Saint-Preux kushoto akikabidhiwa jezi na Meneja wa Azam FC, Jemadari Said leo baafda ya kusaini Mkataba wa miaka miwili kujiunga na mabingwa hao wa Tanzania Bara kuanzia msimu ujao.

No comments:

Post a Comment