Pages - Menu

Sunday, July 6, 2014

Washika mitutu wanaelekea kukamilisha mpango wa milioni 32 kumsajili Sanchez

Sanchez kujiunga na Arsenal
Arsenal ameonyeshewa rangi ya kijani kukamilisha uhamisho wa Alexis Sanchez baada ya kuripotiwa kuwa Barcelona imekubali ofa ya pauni milioni £32 kwa ajili ya raia huyo wa Chile.
Washika mitutu walikuwa wakijaribu kwa nguvu zote kuhakikisha kuwa mpango kwa ajili ya nyota huyo mwenye umri wa miaka 25 unakamilika na sasa inaonekana wazi kuwa dili hilo linaelekea kukamilika huku mipango ya kuelekea kwenye malipo ikiwa inaandaliwa.

No comments:

Post a Comment