Pages - Menu

Monday, September 1, 2014

Hatimaye yametimia United, Falcao akamilisha mpango mzima kwa pauni milioni 12

Radamal Falcao amekamilisha usajili wa kusisimua wa mkopo kuelekea Manchester United akitokea Monaco ya Ufaransa. Mshambuliaji huyo atakuwa anakamilisha uhamisho wa mkopo wa muda mrefu kwa ada ya pauni milioni £12.
Mkolombia huyo aliwasili katika uwanja wa mazoezi wa United wa Carrington kukamilisha zoezi la vipimo vya afya baada ya kukubali maslahi binafsi ambayo ni malipo ya wiki ya pauni £290,000.

No comments:

Post a Comment