Pages - Menu

Monday, September 1, 2014

Rockersports na usajili na tetesi zote za usajili kabla ya kufungwa dirisha la usajili usiku wa leo


  • Radamel Falcao ajiunga na Manchester United kwa mkopo wa msimu mzima
  • Falcao alitakiwa na Arsenal na Man City
  • Arsenal inapigana kupata saini ya Matija Nastasic na Ron Vlaar
  • Lewis Holtby awasili Ujerumani Germany kwa mkopo wa kipindi chote cha msimu ambapo anajiunga na Hamburg
  • Tottenham inaongoza mbio za kumnasa Danny Welbeck ambapo Arsenal nao wanamtaka mshambuliaji huyo wa Manchester United
  • Mlinda mlango aliye na wakati mzuri katika klabu ya Chelsea Petr Cech anatakiwa na QPR
  • Javier Hernandez amepigwa picha akifanya vipimo vya afya kabla ya kujiunga na Real Madrid
  • Arturo Vidal huenda akasalia Juventus baada ya Manchester United kushindwa mpango wa pauni milioni £30
  • Sandro anatgakiwa na QPR huku Tottenham wakihitaji pauni milioni £16
  • Victor Valdes yuko katika mazunguzmo ya kujiunga na Liverpool akiwa huru
  • Benjamin Stambouli amefanikiwa vipimo vya afya kabla ya kuelekea Tottenham
  • Neil Warnock anataka wachezaji wanne kujiunga na Crystal Palace
  • Dirisha la usajili linafungwa saa tano kamili usiku huu wa Jumatatu.

  • No comments:

    Post a Comment