| Mshambuliaji wa Simba Hamisi Tambwe akishuhudua mpira ukidakwa na mlinda mlango wa Stand United ya Shinyanga John Mwenda katika mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam na kumalizika kwa timu hizo kufungana bao 1-1 huku bao la Simba likifungwa na kiungo Shabani KIsiga 'Mallon' na bao la Stand likifungwa na Kheri Mohamed |
No comments:
Post a Comment