| Kikundi kipya cha ushangiliaji kinachojizolea umaarufu mkubwa nchini Tanzania kwa sasa nacho kilikuwepo uwanjani kuishangilia Tanzania wakati wa mchezo dhidi ya Benin na Tanzania kuibuka na ushindi wa bao 4-1, kundi hili ni la mashabiki wa timu ya Simba linalotambulika kama kikundi cha ushangiliaji cha MPIRA NA MAENDELEO. |
No comments:
Post a Comment