KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Friday, June 28, 2013

BATA LA MASTAA WA SOKA DUNIANI WAKATI WAMPUMZIKO YA KUMALIZIKA KWA MSIMU LINAENDELEA, FUATIILIA HAWA DARRON GIBSON NA JOEY BARTON

Nice touch: Darron Gibson's wife, Danielle Carter, shows off some silky skills on the beach
Mke wa Darron Gibson Danielle Carter naye yumo, pichani akionyesha vitu vyake akiwa ufukweni

DARRON GIBSON (BARBADOS)
Wakati kiungo wa Everton Gibson akiwa mapumzikoni baada ya kumalizika kwa msimu lakini pia baada ya kufunga ndoa ameonekana ufukweli katika ile inayodhaniwa kuwa ni honeymoon huko Barbados akiwa na mkewe Danielle Carter.
Danielle alionekana akionyesha uwezo wake wa kuchezea mpira katika pwani inayosifika kuwa na mchanga mweupe na kuonyesha kuwa ana vitu anavyojifunza kutoka kwa mumewe Darron.

Having fun: Danielle rolls the sky-blue ball on the shore while Darron watches
Danielle akisukuma gozi la ngombe lakini huo ni mfano wa mpira maalumu wa kuchezea majini wakati mumewe Darron akimuangalia.

Danielle
Lisa Roughead

 Danielle akiwa na Lisa Carrick (kushoto) baada ya kuchezea mpira.
Nyota huyo wa zamani wa Manchester United alionekana akimuangalia mkewe Danielle akicheza mpira wa miguu.
Gibson kwasasa yuko katika mapumziko katika visiwa vya Caribbean na nyota wenzie wa zamani wa Manchester United Phil Neville na Michael Carrick.
Baada ya kuchezea mpira Danielle aliungana na mke wa Carrick's Lisa wakifurahia miale ya jua katika pwani hiyo.
Danielle Carter
Darron Gibson

Gibson akimuangalia mkewe akiwa majini.
JOEY BARTON (GLASTONBURY)
Wakati Gibson, Carrick na Neville wakifurahia miale ya jua huko Caribbean, Joey Barton yuko katika maandalizi yake ya tofauti ya kipindi hiki cha mapumziko.
Kiungo huyo wa QPR ambaye aliitumikia kwa mkopo klabu ya Marseille ya Ufaransa, yeye alielekea Britain kushuhudia tukio kubwa la kipindi cha Kiangazi nchini hjumo maarufu kama Glastonbury.
Sio siri kwamba Barton ni mpenzi mkubwa wa muziki kwani mara kadhaa amekuwa akinukuu mistari ya msanii Smiths katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter.
Are you sure? Joey Barton (left) dons an Argentina shirt at Glastonbury
Joey Barton (kushoto) akionekana katika jezi ya timu ya taifa ya Argentina katika tukio la Glastonbury 

And so it begins: Barton also posted this picture of the site before the music begins this weekend
Barton alitupia picha hii katika ukurasa wake wa twitter kabla ya muziki kuanza mwishoni mwa juma.

No comments:

Post a Comment