KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA BARUA PEPE rockersports212@yahoo.com AU TUPIGIE KUPITIA NAMBARI 0767166607 AU 0717166607. KARIBU SANA. 66666666607 AU 0717166607

Sunday, November 18, 2012

WACHEZAJI WA NNE WA TENIS WAELEKEA MOMBASA KUSHIRIKI UNDER 18 JUNIOR TENNIS CIRCUIT.

Wachezaji wa nne wa mchezo wa tennis wameondoka nchini kuelekea jijini Mombasa nchini Kenya kushiriki michuano ya tennis ya kila mwaka ya vijana wenye umri chini ya miaka 18 ambayo hufanyika nchini humo.

kocha wa mchezo huo Salum ameiambia Rockersports kuwa wachezaji hao wamefanya mazoezi ya kutosha na imani watafanya vizuri katika michuano hiyo.

Wachezaji hao wameondoka leo tarehe 18/11/2012 na watakuwa huko katika kipindi cha wiki moja.
Wachezaji ambao wameondoka ni pamoja na Salum Msafiri, Tumaini Batili, Gooddluck Shelemu na msichana mmoja Melisa Brown.
Kocha aliyefuatana na wachezaji hao ni Nichkolaus Johnas.

No comments:

Post a Comment